From: mpemba fyoko
Subject: JEE, ZNZ YAWEZA KUKOMBOKA??????

Assalaam Alaykum Wana Barza,


Katika makala hii ninajaribu kutathmini kwa ufupi tu hali halisi ya Kisiasa 
na athari zake huko ZNZ kama inavyoiona na suluhisho lake kama 
ninavyofikiria. Makala hii si zaidi ya mazawo yangu binafsi na si lazima mtu 
yeyote akubaliane na mawazo haya na kila mtu anayo haki kamili ya kunipinga 
bila ya kuwa na ushahidi na hoja yeyote ile.

Nchi yoyote duniani inapokuwa ipo katika harakati za kutafuta uhuru wake 
kamili mbinu mbali mbali huwa zinatumika ili kuhakisha kupatika kwa uhuru 
huo. Kwani kikawaida mkoloni wa aina yoyote anakuwa hatoi uhuru kirahisi.

Ama kwa upande wa ZNZ inaonekana wazi kwamba bado hadi kufikia wakati huu 
tulionao mbinu iliyotumika katika kuhakikisha uhuru wetu ni moja tu nayo ni 
kutumia ”CHAMA CHA SIASA CHA UPINZANI”.


CCM NA MATATIZO YA ZNZ

Kuna msemo wa Kiswahili usemao ‘KIKULACHO KINGUONI MWAKO’ maana halisi ya 
msemo huu ni adui yako ni mtu akujuae. Katika upande wa siasa na utaratibu 
wa maisha wa ZNZ fikra hizi za watu wa kale labda zimekusa ndipo, kwa hali 
moja au nyengine ADUI  WETU anatufahamu vizuri kani ametusoma kwa miaka 
mingi wakati sisi tumelala dororo.

Wanzabibari kwa sababu tumelala by large tumeshindwa kumjua adui yetu. Wengi 
tunachukulia CCM kama ndie adui yetu mkuu.

Katika wakati kama huu tulionao wa dhiki na shida kubwa kunaushahidi wa 
kutosha kwamba CCM sio hasa adui wetu bali ni kijivuli tu cha adui huyo, 
kwahivyo kwa kutumuia mbinu ya kupambana na CCM directly kuna uwezekano wa 
kuendelea kunoa kama tulivyokwisha noa mihula miwili iliyopita.

CCM ni kijivuli cha JINI mkubwa ambae ni Kanisa Katoliki. Kwahivyo kupigana 
na CCM ni sawa na kupigana na kijivuli cha Jini huyu. Kwa bahati mbaya sana 
Jini huyu amesha tuzungumka kimawazo, kifikra, kiutawala, hali na mali na 
kujinasua kutoka katika mipangilio yake kunahitaji ukakamavu, ushujaa, 
kutumiwa kwa akili  kwa hali ya juu na pamoja na yote hayo kuwepo kwa 
utaratibu mpya ambao utawaunganisha Wazanzibari wote KIMAWAZO na Kiakili.

Jini huyu ameusabilia moyo wake wote akitaka kushinda miyo yetu, na 
kwabahati mbaya sana amefanikiwa vya kutosha. Leo hii adui hasa wa 
Wazanzibari ni Mzanzibari mwenyewe, au kwa lugha nyengine adui yetu ni 
Mzanzibari anae endeshwa kwa remote control na JINI huyu bila kujijua.

ADUI WA ZNZ

Katika awamu za utawala wa ZNZ zilizopita kabla ya 1995 uadui wa ZNZ ulikuwa 
ni shared business baina ya Tanganyika na Viongozi wa ZNZ. Leo hii audui wa 
ZNZ unafanywa 90% na Wazanzibari wenyewe. ZNZ is getting worse & worse in 
different and every way every time new ZNZ’s President is elected and every 
time a Zanzibari is given a high post in So called Union Government, 
sometimes I even feel like these guys are zombies to me, like living dead! 
Yes indeed, People do make mistakes along the way, let's take it like this 
'no body is perfect' in life. They always say ‘to make a mistake is not a 
mistake to repeat a mistake is a great mistake’, but these guys are 
repeating same mistake over and over and over again. Above all they don’t 
even realize that they are making mistakes!!

Pengine si vizuri kuwalaumu kutokana na hali halisi ya maisha ilivyofikilia 
leo hii. Ndugu zetu hawa labda wanatumilia madaraka hayo kujiimarisha japo 
kwa uharamu.

It’s very true that honesty is but all and necessary in life. Sometimes some 
people are trying to avoid it for different reasons. May be we can’t blame 
them all coz some of their reasons carry some weight and therefore may be 
considered valid. Though some people use white lies to justify their actions 
of what may be seen of immoral by other people and immoral indeed they are!

Wazanzibari tuna haki kamili ya kuwalaumu Viongozi wetu kwa kitendo cha 
kuiuza nchi yetu kwa bei nafuu. Wakati wa awamu ya kwanza ya vyama zingi ZNZ 
ilikuwa on sale in open market. Dr Salimini aliipiga mnada ZNZ mbele ya 
macho yetu. Adabu yake yeye ndie aliyekuwa Raisi wa mwanzo wa ZNZ kuwa kama 
mkuu wa Mkoa wa ZNZ au kuvishwa kilemba cha Ukoka tu.


UHURU NA ZNZ

Talking about UHURU, we all love to be free. But we should be extra careful 
when we involve ourselves with these so-called good thing in life 
‘Democracy’.  I am not sure if people have noticed but here lies the most 
dangerous agenda and several hidden propagandas that could lead someone to 
the avenues that will not permit him/her to develop a balance personality. 
One can be easily misguided and confused. The thing is taking young people’s 
discipline and power to control themselves. These things are like 
double-edged sword like anything else in life, can be both good and bad, but 
the only problem with this sword doesn’t have a handle, it’s plain blade.
Kwanini ninafikiria hivi, kwasababu katika kutafuta uhuru kikawaida watu 
wanakuwa na different opinions na mawazo tofauti katika mambo ya siasa may 
most of time cause emotional problems especial to young ones. I know as well 
as they do emotions are so strong and not easy to control, travelling faster 
than light. Sote tunashuhudia nini kinachondelea mbele ya macho yetu ZNZ leo 
hii. Sisemi kusiwepo na utaratibu wa kuikomboa ZNZ, no, lakini nakusudia 
watu wawe mental conscious katika kushiriki kwenye harakati kama hizo ili 
kumnyima adui wetu mwanya wa kutumaliza. Vile vile it’s also true that 
wherever there are differences of opinion, if one tend to follow the most 
strict one will rarely fall into trouble!

KWANINI NI SHIDA KUIKOMBOA ZNZ
Sidhani kama kuna mtu anaweza kuiunder estimate the current situation of 
ZNZ. Katika matatizo makubwa ambayo nadhani ni mpangilio maalum uliopangwa 
ili kuiuwa ZNZ ni kufutwa kwa Historia yetu. Si fikirii kama suala hili lina 
uzito wowote kwa Wazanzibari wengi. Nyerere alihakikisha anaifuta historia 
ya ZNZ hadi maskulini ndio kwa taarifa yenu hadi nilipokwenda kutembelea ZNZ 
mara ya mwisho skuli hazina somo la Historia katika masomo hadi kufikia Form 
6. Kwanini tusiwasomeshe watoto wetu historia ya nchi yao? Sina hakika 
vizuri lakini ZNZ ni nchi penkee duniani amabyo haifundishi historia!
Wakati historia ilipofutwa maskulini bado watoto walikuwa wanasomeshwa ule 
ule upuuzi wa kawaida, “Mke wa Mwarabu alikuwa hajawi kumuona mtu akianguka 
mnazi, basi akachuliwa Muafrika akaambiwa panda mnazi hafalu akapigwa 
bunduki, mke wa Mwarabu akaona kwa mara ya kwanza vipi mtu aanguka mnazi na 
akacheka sana na kufurahi nafsini mwake”
Lakini Nyerere alijua siku moja watoto watasomeshwa ukweli na hapo ndipo 
itakapokuwa hatari. Nadhani alikuwa anajua kwamba Wanasayansi 100 hawawezi 
kuvuruga mawazo ya watu lakini inaweza kuchukuwa mwana historia mmoja tu 
kuichafua nchi nzima.
Kwa taarifa yenu ndugu zangu nchi bila ya historia ni sawa na mtu bila 
miguu, lazima atumie wheelchair na maranyingi lazima apate mtu amsukume, 
ndio hali halisi ya ZNZ sasa kwa sababu tu hatuna historia tuko kama kilema 
na Kanisa Katoliki lipo nyuma yetu linatusukuma linavyotaka. Na sisi 
tunaendelea kupiga makofi!!!
Wachilia mbali hali halisi ya ZNZ kabla ya kutekwa na Tanganyika 1964, 
vijana wengi wa ZNZ wahajui nini kilitokea ZNZ hata baada ya unyang’anyi huo 
wa 64! Aibu gani hii. Na hii ndio maana vijana wanatafautiana kimawazo leo 
hii katika mambo ya siasa. Vijana wetu wamekuwa mesmerized na tantalised by 
our enemy! This is about time to revert watoto wetu na lazima wasomeshwe 
ukweli wa NCHI YAO!

MATATIZO YA CHAMA CHA UPINZANI
KATIKA UKOMBOZI WA ZNZ

Chama cha siasa cha upinzani pekee hakiwezi kuikomboa ZNZ, kwani utaratibu 
huu hauwezi kuwaunganizha Wanzanzibari wote kimawazo na kisaikologia.

Kwanza; kuwepo kwa masuala ya uchaguzi haramu na nguvu ya Tume ya Uchaguzi 
na kuwepo kwa wanafiki wengi Nchini kunasababisha hata baadhi ya watu 
kukatika tamaa.

Pili chama tawala ndicho kwa hali zote kinachoshikilia vyombo vyote muhimu 
vya dola na Taasisi zake muhimu ambazo kwa hali moja au nyengine ndio 
vinavyo miliki na kuendesha maisha ya watu kwa ujumla mfano; Polisi, 
Mahkama, Jeshi, TV, Radio, Magazeti na majarida. Hata zile taasisi ambazo 
kwa mfumo mpya wa maisha zimemilikiwa na watu binafsi bado zinafanyakazi kwa 
kutumia mfumo ule ule  unaotumiliwa na JINI MKUU.

Tatu; Chama cha upinzani katika hali kama hii kinaweza kuyaona matatizo 
lakini hakina uwezo wowote wa kuyatatua kwani hakina power hata chembe wala 
hakishirikishwi katika maamuzi ya aina yoyote ya nchi.

Nne; Chama Cha upinzani kwa sababu hakina means na sources zozote kama vile 
za vyombo vya habari inabidi iwasilishe ujumbe kwa wafuasi wake kwa njia ya 
mikutano ya hadhara. Hapa ndipo palipo na matitizo makubwa pia. Kikawaida 
mtu anaposema huwa kuna watu wanasikiliza. Hakika tone la mvua likituwa 
katika tumbo la chaza huwa lulu na likituwa katika kinywa cha nyoka huwa 
sumu. Msikilizaji anayafasiri maelezo katika hutuba za viongozi wa Chama cha 
upanzni kwa kujibu wa hisia zake chafu.

Mfano mzuri sana ulionekana katika uchaguzi uliopita huko ZNZ, mhutubu wa 
Chama cha Upinzani alisema marahii wana nia ya ‘JINO KWA JINO’ wengi ya watu 
walipiga makofi wakidhani iliyotamkwa ilikuwa kauli mzuri na yenye kutia 
moya, lakini kauli hii ndio iliyosababisha kutemshwa kwa jeshi kali ZNZ.

Kauli ya pili ambayo pia watu walifikiria ndio kumekucha ni ya “MAZUNGUMZO 
YETU NI SIRI NA SITOITOA MPAKA MIAKA……” Kila mtu hata wafuasi wa chama cha 
Upinzani walitafsiri kauli hii wanavyopenda, lakini kwa tafsiri ya CCM, 
walimuweka Rais Muagwa katika ulinzi mkali nyumbani kwake na kunyimwa 
paasport yake katika siku za uchaguzi, hata kama alikuwa na nia ya kufanya 
kitu ndio chance ilipotoea. Pengine Mkuu huyu wa Chama cha Upinzani alikuwa 
awambie wasikuilizaji wake cho chote kile kama bweresha bwege tu, badala ya 
kutangazia kuna siri kubwa sana baina yake na Raisi Muagwa.

TATIZO LA WAZANZIBARI

Katika wakati huu wa dhiki na shida Wazanzibari wanahamu kama sio leo kesho 
lakini wakomboke na dhiki walizonazo. Kupigwa ovyo ovyo, kuvamiwa majumbani 
usiku na mchana, watoto wari kurepiwa na kuingiliwa na wageni kana kumbi 
kumbi bila kujua watnakotoka, kufunguliwa sehemu za kuuziwa pombe chini ya 
MISIKITI, watu kufukuzwa makazi ovyo, anaefanya kazi ya kujituma mwenywe ya 
biashara ndogo ndogo kuekewa ushuru mkubwa kiasi amabcho anashindwa 
kuendeleza biashara yake, aliyejenga kuvujiwa bila sababu, na kila balaa 
unalolijuwa ikiwemo kuongezeka kwa MAKISA ZNZ.

Tatizo kubwa la ZNZ ni kutokuwepo kwa umoja. Wazanzibari tuko nafsi nafsi, 
pengine na woga kwa kiasi kikubwa. Wazanzibari ni wakarimu sana hata kama 
mtu anataka kutujinja basi tunampa shingo na tunamnolea kisu chake.

Adui yetu amegundua siri nyengine kubwa amabyo ni unafiki. Wazanzibari wengi 
hasa katika madaraka japo madogo ni wanafiki. Watu wanajali matumbo yao kwa 
gharama yoyote hata kama wanaiuza NCHI yao. Ama kweli umasikini ni adui!  
Leo hii imefika hadi mtu yuko tayari kuiuza personality yake kwa kibaba cha 
sembe! Ujinga kiasi gani jamani huu! I am so sorry for all painful time that 
our people are so suffering from caused by our own people. Shame on us!! We 
all know how hard it is to live in rampage. ZNZ have its own destiny, soon 
or later we will forget this distressed past forever!

SULUHISHO LA MATATIZO YETU

Kwanza ni lazima tukubali kwamba; success and purity in life is a long way 
dream for every body, in fact it's like a long road crossing rivers, 
mountains, and valleys, it's a road full of darkness, windy and above all 
there are no signs and proper directions, one can easily get lost! One can 
easily be where the times diverge. In reality it's absolutely hard to 
determine our way ahead even if sometimes one have a proper map and 
guidelines, that's the true nature of life! Lakini ni haram kuluzi hope.

As a country ZNZ needs to shine with time again!! I am correct? Before we 
translate any idea into reality in fighting for complete freedom we have to 
keep at lease one thing in mind, whatever happens we won’t forget that our 
today’s decision is the concrete foundation of our tomorrow’s joy or 
sadness.

Nadhani ili tuikomboe ZNZ ni lazima tumjue adui yetu hasa, tumsome 
anavuyofanya uadui wake halafu tutafute solution ya kudumu. Bila shaka adui 
yetu ametusoma na ametafuta uadui wa kudumu juu yetu.

Jambo la pili Ni lazima ZNZ tujaribu kucetralize our problems.  Na paundwe 
chombo au  jumuia ambayo ishughulikie matatizo ya NZN na jumuia hii lazima 
isiwe ni chama cha siasa kwani kwa mbinu ya chama cha siasa hatumuwezi adui 
yetu. Jumuia hii isijitokeze hadharani na Cha chetu cha siasa kifanywe kazi 
kama kijivuli cha jumuia hii tu.

Jambo la tatu ni lazima juia hiyo kucentralize our people mentally and 
emotionally. Jumuia hii lazima izi recollect young people thoughts, strength 
and above all interests. Leo kuna ujinga umeshika roho za watu wa ZNZ 
Muunguja na Mpemba huku Mkapa anatumaliza, lazima kuwe na Zanzibari 
Nationalism. Huu mpango wa Muunguja na Mpemba ni gugu lililopandikizwa 
kichani mwetu inaonekana limenawiri vizuri sana.

Jumuia hii lazima iwa-program vijana kuwa tayari kufanya lolote when it 
matters most. Vijana lazima wafundishwe kuipenda nchi yao.

Vijana wote lazima wajue kwamba what happed here during the silent time was 
the normal reaction, thinking. ON DAY YES and so, it was difficult at hat 
stage to do anything! That day never here yet! But if today we have to think 
anyway we have to decide to think big. Thinking of re-writing the history 
back some day, and it should be soon! You know we always miss what we had!!! 
We had a country some day ago and we miss it badly!

It took Tanganyika about 7 years to override our destiny from 57 to 64 let 
it take us 10 years from today it’s ok but we have to decide for ZNZ using 
our own mind!

ZNZ LONG LOST FRIEND

ZNZ once you had a nice, beautiful and healthy name. Long, clean bunch of 
beautiful places deserves to be seen now sold to ITALIANS. A cute city 
decorated with beautiful charm, eyes could see you, nose could smell you and 
your heart opened up to the totality of your unique personality, since they 
have no room in darkness!! ZNZ needs to shine again; it’s in our hand now 
unfortunately!!!
These guys enemy of yours, no doubt, must be the luckiest people ever-in 
life to control you, I don’t know but I think you should not go through all 
this pain; your heart is so young to handle much of this torture and pain.  
Why don’t you pretend like you never saw these guys in your life before! 
They say ‘you never miss what you never had’ so may be you can be free again 
from your mental slavery!
I love ZNZ

Mpemba Fyoko