.

Welcome to Zanzinet Swahili Poems

Where Swahili matters!

Muafaka Ng'ombe Aso Pembe

 

 

 

 

 

 

Related links

 

Muafaka ng'ombe asopembe!

1 Dec 2001

 

Ngombe uliyemtaja, pembe zake kazificha
Hufika ukimtaja, kwato zake za makucha
Tuanze funga mkaja, kwani bado hajachacha

 

Hashil

 

Muandishi wa shairi hili alikuwa akijibu wimbo huu ulioletwa na mjumbe A-106:

Aloanza pekepeke, kugombanisha viumbe
sasa yupo pekee yake, kama ngombe asopembe
kama liza hila zak, hazi fai hata chembe

 

 

  About Us | Zanzinet Home | Contact Us | ©2004 Zanzinet