.

Welcome to Zanzinet Swahili Poems

Where Swahili matters!

Hikima!

 

 

 

 

 

 

Related links

Hikima!

Date: 04 June, 2006

  1. Mengine ni matapiko, kuwa katika baraza
    Mengine yana vituko, na uvundo wa kuoza
    Mengine hatari kwako, iwapo yametokeza
  2. Kama saburi haiko, ya uchungu kuumeza
    Huwa kubwa shari yako, ukisha jitumbukiza
    Katika maharibiko, ya ugomvi na kuzoza

Shaaban Robert through Maher

  About Us | Zanzinet Home | Contact Us | ©2004-2006 Zanzinet