Zanzinet Forum
Where Zanzibaris Meet

Zanzinet Membership



Ombi la kuwa Mjumbe wa ZANZINET


Jina lako kamili (jina la bandia halikubaliki):

Anuani yako ya e-mail (kwa mfano: chakubanga@hotmail.com):

Tafadhali andika tena anuani yako ya e-mail kwa uthibitisho:

Mahali ulipozaliwa:

Kama hukuzaliwa Zanzibar, una uhusiano gani na Zanzibar?

Mahali unapoishi hivi sasa:

Jina la mjumbe wa ZANZINET anayekufahamu (yaani Referee wako):

(Tafadhali wasiliana naye kwanza kabla ya kujaza fomu hii na msisitize ajibu haraka barua atakayopelekewa katika kipindi kisichozidi siku mbili)

 

Anuani ya e-mail ya mjumbe wa ZANZINET anayekufahamu:

Kwa uthibitisho, andika tena anuani ya e-mail ya mjumbe wa ZANZINET anayekufahamu:


Tafadhali bonyeza mara moja tu!

 


Tanbihi!

Endapo itatokea tatizo litakalosababisha mdhamini wako kukosa kupokea barua ya uthibitisho kutoka Zanzinet au umeshindwa kwa dhati kupata mjumbe wa Zanzinet anayeweza kuthibitisha maombi yako au kwa sababu nyengine yoyote ile, basi wasiliana na Fundi Mitambo wa Zanzinet.

Kila ombi linashughulikiwa kwa uhakika wake!

 

 

About Zanzinet | Site Map | Contact Us | ©2004 Zanzinet